GREAT VISIONAIRE
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 365
- 452
muimi nina D 2 NA C MOJA.NAWEZA KUFIKIRIWA?Mimi ni kijana ambaye nina mwezi wa pili nipo dar ,nilikuja kwa mjomba,sasa amestaafu amepewa ela sa hv amenunua gari lake sio la ofisini tena, kwa hiyo nataka kuoa msichana ambaye amefaulu vizuri form four na high level awe amefaulu kawaida,wa chuo mpaka nimwambie mjomba,nimepewa chumba kimoja na mjomba majohe kuna umeme na maji ndio ntahamia, kwa sasa bado nipo nakaa kwa mjomba moshi bar mpaka nitakapopata mchumba nakaribisha maombi yote na wawe na umri kati ya miaka 18 hadi 25.
We si ndo ulikuja mjini na ndege wewe,,, dah mara hii unataka kuoa?
Kwanza hukutupa feedback ilikuwaje baada ya kutua JK Nyerere airport
muimi nina D 2 NA C MOJA.NAWEZA KUFIKIRIWA?
'high flying colourz'? Ndo nini??
Mimi ni kijana ambaye nina mwezi wa pili nipo dar ,nilikuja kwa mjomba,sasa amestaafu amepewa ela sa hv amenunua gari lake sio la ofisini tena, kwa hiyo nataka kuoa msichana ambaye amefaulu vizuri form four na high level awe amefaulu kawaida,wa chuo mpaka nimwambie mjomba,nimepewa chumba kimoja na mjomba majohe kuna umeme na maji ndio ntahamia, kwa sasa bado nipo nakaa kwa mjomba moshi bar mpaka nitakapopata mchumba nakaribisha maombi yote na wawe na umri kati ya miaka 18 hadi 25.
...Ndo nini hio? Hakuna kitu kama hicho
Mie sijaelewa, uhusiano kati ya mjomba kununua gari lake, wewe kupewa chumba kimoja na gpa ya mchuchu? Hizo flying za chuo kikuu? Mjomba amekuajiri kuwa driver wake binafsi ama?
Ngoja nilipulize nije na vyeti hapa, A straight ila ni za post doctoral degree.
We si ndo ulikuja mjini na ndege wewe,,, dah mara hii unataka kuoa?
Kwanza hukutupa feedback ilikuwaje baada ya kutua JK Nyerere airport