Natafuta mchumba aliyefaulu kwa high flying colours

Huyo binti atakua demu wa mjomba wako, mpaka apo hela zitakapomuishia afu anasepa.
 
Umeanza mawivu yako. Na mabinti wa siku hizi hatufai, akinikaribisha hapo kwa ankal nahamishia majeshi kwenye pensheni mie sikuja kuuza sura town

hahahah hata sio wivu, hivi unajua mawazo ya huyu jamaa na yule mwanaume wa kule kijijini kabisa yaan kule ndani ndani...sasa kaja mjini siku hizi suruali hafungi tena na kamba ya katani anajifanya ataka kuoa msomi ili aringishie huko kwao kijijini...
na nikijua umeenda huko nakuja kukufurumua...
 
Mjomba wako ni yule aliyeficha trillion 3 bondeni?
 
We si ndo ulikuja mjini na ndege wewe,,, dah mara hii unataka kuoa?

Kwanza hukutupa feedback ilikuwaje baada ya kutua JK Nyerere airport

Umenifurahisha ulivyokeep record na kijana anajua kama kawaida ya watanzania anajua ile ilishapita na watu wameshasahau kumbe watu wanatunza kumbukumbu.
Na kwa post hi poleni sana akina dada. Kama mtu mwenye sifa hizi anatafuta mwenye flying colours kwa kuahidiwa nyumba na mjomba tena magole. Je anayejitegemea na ana kazi yake na anakaa maeneo ta tuseme sinza atataka mwenye sifa zipi? Kazi kwelikweli
 
Asante kwa ushauri,lakini hata ukiangalia mwanza mjini na kijijini kwetu ngudu vijana kama mimi wanakuwa wameshaoa na watoto tayari wanakuwa nao ila nashangaa huku nimewaambiako tu mnaanza kunishambulia kwa maneno kama vile nimewakosea.

 
Duh, jf hapaishi vituko mweee, King'asti na Binti.com naona wameyeyusha, labda jamvi hili tumpatie lara 1 au Ciello. Haya wale mabinti wanaotafuta pesa za wastaafu hizi hapa sasa kazi kwenu.
 
Daaah aisee nimecheka sana!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…