Natafuta Mchumba aliyeokoka (Mwanamke)...

Prince C

Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
9
Reaction score
2
Mimi ni kijana niliyezaliwa 1987 namtafuta Mwanamke aliyeokoka ambaye yupo tayari kuishi kama Mke pia mwenye wito katika kumtumikia MUNGU..0773 842 849
 
Usisahau kutangaza na zoom au lipia tangazo The Guardian. Wapo tu wengi
 
waliokoka na ajali au na nini maana ujaelezea kuokokaje huko?
 
Mimi ni kijana niliyezaliwa 1987 namtafuta Mwanamke aliyeokoka ambaye yupo tayari kuishi kama Mke pia mwenye wito katika kumtumikia MUNGU..0773 842 849

Mugu wako ndio kakufundisha hivi juu ya kupata mke?
 
Mke mwema hutoka kwa Bwana c JF,km unataka mke aliyeokoka nenda makanisa ya kipentekoste na ole wako uingie kwa nia ya kulaghai Mungu atakuaibisha.
 
Hakuna mwadamu yeyote alieokoka ndugu kwa bible inasema wote wana dhambi na asemaye hana dhambi huyo si wangu.Kuna kuongoka ila kuokoka ni mpaka siku ya hukumu ndipo tutajua waliokoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…