Natafuta mchumba aliyeokoka

nnill

Member
Joined
Jun 23, 2016
Posts
5
Reaction score
5
Mimi ni msichana wa miaka 27, mwajiriwa selikalini naishi Mbeya. Elimu yangu ni shahada ya kwanza. Nimeokoka. Mimi naamini mume au mke mwema anatoka kwa bwana but unaweza kukutana nae popote. Nami nahitaji mwanaume aliyeokoka. Umri kuanzia Miaka 28 elimu kuanzia form four kabila lolote. Awe nakKazi halal ya kumuingizia kipato.

Karibu pm.
 
Muombe mungu akusaidie kumtambua aliyejifanya kuokoka ili kutimiza leongo lake
 
Lakini maisha ya mume na mke ni zaidi ya wokovu. Kama akili unawaza mume aliyeokoka pekee ndiyo atafanya maisha yawe ya furaha, nadhani kutakua nashida sehemu.
 
Nami nilikua natafuta mke mwenye sifa kama zako ila umri wangu ni mdogo
 
aisee umetangaza nia sehemu sahihi humu Jf kuna vijana walokole wengi sana nadhani washaanza kumiminika huko pm
 
Tulia dadaangu Muombe Mungu akupe Mme mwema maana MTU anaweza kukulaghai kuwa ameokoka kumbe sio kweli

Kumpata Mme kutoka kwa Mungu kunahitajika ghalama kidogo

A, funga na kuomba masaa 24 angalau ukimuomba Mungu akufunulie

B, jitahidi kuwa karibu Sana na Biblia kujisomea Neno LA Mungu
Ndipo Mungu atafungua milango ya uchumba.
 
Mume mwema atakuja tu sio kumtafuta jf
Acha kumdanganya dada wa watu. ameshaomwomba Mungu sasa ni kuwasaka popote ili maombi yake yafanye kazi. Unataka mchumba amfuate geto? Kaza buti dada ila ungetangaza 'Mkristo' badala ya mlokole. Kuna Wakristo hawajaokoka lakini wanaelewa kuishi na mke kuliko waliookoka.
 
Reactions: EHK

Umeokoka how?
 
Mwanamke hujikuta kwa mwanaume!!!
Soma story ya Adam.
 
Hata mm natafuta mke pia ni mwajiliwa kama utakuwa haujapata nitafute tuwasiliane kwa ss nipo mbeya kikazi 0745645518
 
Kuokoka sikigezo omba mungu akujalie Mme mwema anaemjua mungu hata aspokua mlokole lamhimu awe mkiristo
 
Mi nimeokoka ila age ni 25 ...
Nikutakie kila la Kheri tu.
katika hili...Bwana akutane na haja ya Moyo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…