Natafuta mchumba aliyetayari kuolewa

Amoccy

Member
Joined
May 23, 2016
Posts
6
Reaction score
0
Sifa zangu
Umri: 30
Makazi: Tabora&Shy
Elimu: ya chuo
Kazi: Mwajiliwa
Rangi:Mweusi
Watoto: 1.
Jinsia:Me
Kuhusu Mimi: Mpole, mchapakazi

Ninayemtaka
Sifa zake
Umri:20-28
Elimu:Ajue kusoma na kuandika,form four na kuendelea itapendeza
Kazi:Sio kigezo muhimu
Rangi: Yoyote awe mwenye afya, asiyejichubua.
Makazi: Tabora,Shinyanga,Simiyu,Geita.
Watoto : 0-1

Sifa za ziada;
1. Awe na moyo wa kulea watoto wake na wasio wa kwake.
2. Awe na heshima ya kila mtu wakubwa kwa wadogo.
3.Awe anajua kupika hadi kukaanga, maana napenea sana nyama za kukaanga.

Kama una sifa hizo ni PM tuchati.
 
Awe anajua kupika hadi kukaanga[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]umetisha mkuu
Na hiyo ni sababu anapenda sana nyama za kukaanga 🤣

Dunia ya JF bhana!🤣🤣
 
Hongera Sana Mkuu kwa maamuzi sahihi ya kutafuta Mwenza wa Maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…