Natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mume wangu

Natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mume wangu

Dingane

New Member
Joined
Feb 5, 2020
Posts
1
Reaction score
8
Mimi ni mwanamke, Natafuta mchumba ambaye tutaweza kuanzisha familia pamoja,

Baadhi ya sifa zangu
1.Mimi ni mwanamke wa kawaida tu,
2.Nimeajiriwa
3.sina mtoto wala sijawai kuolewa
4.30yrs
5.Elimu chuo
6. Dini Mkristo
Mengine tutaelezana PM.

Sifa za mwanaume nimtakaye

1. Awe ameajiriwa au kujiajiri katka sekta yoyote ile but akiwa mwanajeshi itakuwa vizuri zaidi
2.Awe na Elimu kuanzia form4
3.Awe na miaka kat ya 31_36
4.Dini awe mkristo
5.kabila lolote lile.

N.B nitafurahi sana kama nitapata hitaji LA moyo wangu, nitakupenda daima.

Karibuni Pm but kwa aliyeserious kabsa

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nabii hakubaliki kwao. Embu toka hata mtaa wa pili dada yangu huenda kweli umeshindwa kukubalika kitaani kwako au mkoani kwako
 
Dah hivi kwann wajeda wanapendwa saana?? Mimi ni seniour jf member vip sijakidh vigezo??
 
Vigezo na masharti vinazingatiwa fursa za 2020 ndiyo hizi
 
Kila siku unahangaika kufungua ID Mpya .......wanawake bwana tamaa mbele mauti nyuma

Mnatafuta wa kupiga vizinga ....ukiona yupo kimya unafungua ID mpya tena kutafuta wengine



sent from toyota Allex
 
Back
Top Bottom