shekalage
Member
- Apr 26, 2013
- 47
- 3
Ndugu zangu me mgeni kwenye hii forum,mimi cku zote nilikuwa nnafungua jf nnasoma post bila ya kuwa member hla nnashukuru sasa ni member na bila kuchelewa nimeona nifikishe shida yangu kwenu km kichwa cha habari kinavyojieleza,wasifu wangu mimi ni kijana wa ki tz ,elimu yangu nna stashahada ya juu ya usimamizi wa biashara pia ni muajiliwa serikalini na mdada nnae muhitaji awe ameajiliwa au mwenye uwezo wa kufanyabiashara sipendi mwanamke wa kukaa home tu,sijawahi kuoa nnae muhitaji awe pia hajawahi kuolewa,sina mtoto na huyo mdada pia asiwe na mtoto,hii ni serious ndugu zangu kama kuna swali lolote unaweza ukani pm ntakujibu vizuri.