Natafuta Mchumba Atakayekuwa Ma Lovely Wife After Several Months Lates.

Natafuta Mchumba Atakayekuwa Ma Lovely Wife After Several Months Lates.

Mathias BM

Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
21
Reaction score
3
Mambo Vipi Wadau! It's Ma Hope That Tutashirikishana Mengi. Natafuta Msichana Mkatoliki Anayependa Kuimba Kwaya, Umri 18-25. Umri Wangu Ni 26, To Be Ma Lovely Wife After Few Months Later. Contact: 0763860911/0789123083. Very Serious.
 
ambao tuna sauti za vyura inakuwaje?

Sikutegemea hii inaweza kuwa moja ya sifa za mke mwema, ila kipenda roho bana.
 
Duuh unataka kufungua bendi nini, mimi naona pendelea kwenda kanisani zaidi hapa mmmh sauti kama Kongosho
 
Last edited by a moderator:
hahahah mie naimba sauti ya nne lakini:sleepy:
 
Ninaye dadangu ila yeye hajui kwaya, yeye ni wa bongo flavor. Anafaa huyo??
 
Kuimba Kwaya Daz Not Matter Too Much, But Cha Msingi Awe Ni Wise Girl And Social.
 
Kuimba Kwaya Haimati Sana But Cha Msingi Awe Ni Wise And Social.
 
Kuimba Kwaya Haimati Sana But Cha Msingi Awe Ni Wise And Social.
 
Mambo Vipi Wadau! It's Ma Hope That Tutashirikishana Mengi. Natafuta Msichana Mkatoliki Anayependa Kuimba Kwaya, Umri 18-25. Umri Wangu Ni 26, To Be Ma Lovely Wife After Few Months Later. Contact: 0763860911/0789123083. Very Serious.

sasa mathias kama ajui kuimba?
 
Back
Top Bottom