Natafuta mchumba awe mwanza

Natafuta mchumba awe mwanza

Mbudi

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
577
Reaction score
157
Nina miaka 32 nina elimu wastan nafanyakaz kampun ya vileo tbl natafuta msichana mwenye umri kati ya miaka 20-kuendelea. Sio utani namaanisha
 
Jamani wenye kuvutiwa na bandiko hili fanyeni kweli mwenzenu hana utani anamaanisha.

Elimu yake ya wastani tu, sio degree kama wengine wanavyojitangaza huku jamvini pindi wakitafuta wapenzi.
 
Jamani wenye kuvutiwa na bandiko hili fanyeni kweli mwenzenu hana utani anamaanisha.

Elimu yake ya wastani tu, sio degree kama wengine wanavyojitangaza huku jamvini pindi wakitafuta wapenzi.

mimi neno lake la 10.......limenifanya nivutiwe nae ghafla.......ila asiwe Ahmada......
 
Nina miaka 32 nina elimu wastan nafanyakaz kampun ya vileo tbl natafuta msichana mwenye umri kati ya miaka 20-kuendelea. Sio utani namaanisha

Mke mwema anatoka kwa Mungu, bali utajiri na mali mtu hupewa na babaye!!! Mke mwema anaweza kutokea mahali popote duniani na si Mwanza wala wapi!! Kila mtu akiitwa kuuliza alikokutana na mume/mke wake ambaye wamedumu kwa muda mrefu kila mtu atakuwa na historia yake. Tusiweke vizingiti sana hasa pale unapokuwa serious unataka kuoa!!! Ina implication kubwa sana. Sana sana kama unatafuta temporary lover/gilfriend una zero in ulipo ili iwe rahisi kukutana!! Take it from me.
 
Nia yakutaka wa mwanza ni wezekumjua vizuri cpendi mchumba wa majaribio nina nia
 
...haya jamani fanyeni hima,mlevi anataka mla sato,jitokezeni basi...
 
Back
Top Bottom