mimi neno lake la 10.......limenifanya nivutiwe nae ghafla.......ila asiwe Ahmada......
kasema anataka wa mwanza! mimi nipo katavi sasa mi nifanyeje?
vigezo na masharti vizingatiwe bana.akija wa katavi nitasema naeBasi ndo tayari kasha jikosea bahati yake. Labda tujaribu wengine.
vigezo na masharti vizingatiwe bana.akija wa katavi nitasema nae
..kiongozi samahani sana hukunielewa ila mi sio mbunge, nalimaanisha unafanya kazi kwa wazee wa rangi ya mende,tuko pamoja kiongozi,watakuja tu...mbona unanitusi mi c mlevi
..kiongozi samahani sana hukunielewa ila mi sio mbunge, nalimaanisha unafanya kazi kwa wazee wa rangi ya mende,tuko pamoja kiongozi,watakuja tu...
Nina miaka 32 nina elimu wastan nafanyakaz kampun ya vileo tbl natafuta msichana mwenye umri kati ya miaka 20-kuendelea. Sio utani namaanisha
mimi niko mwanza kwa siku 2, je twaweza kuwa wachumba wa hizo siku 2? na dont worry about umri maana ni 20 na kuendelea saana tu!
:eyeroll1::eyeroll1:
mimi niko mwanza kwa siku 2, je twaweza kuwa wachumba wa hizo siku 2? na dont worry about umri maana ni 20 na kuendelea saana tu!
jamani na mimi pia nahitaji mchumba umri wangu miaka 27 elimu kidato cha sita, kazi mjasiriamali, kimo mimi ni mfupi,rangi mimi ni mweusi, mchumba nahtaji kuanzia miaka 18 hadi 25 ani pm ntampa namba zangu
Elimu yake ya wastani tu, sio degree kama wengine wanavyojitangaza huku jamvini pindi wakitafuta wapenzi.
Wapi bibie charminglady ?