candymarry
Member
- Aug 4, 2012
- 32
- 8
Habari wana JF mimi kiufupi ni mgeni jukwaani,jambo lililonileta hapa ni kufatia busara zenu na naamini wengi wenu ni watu wazima. Mimi ni msichana wa miala 21 na mzaliwa hapa hapa bongo,nimemaliza kidato cha nne mwaka 2002. nafanya kazi halmashauri,natafuta mchumba kama nilivyoeleza hapo juu.mbarikwe sana.