candymarry
Member
- Aug 4, 2012
- 32
- 8
Habari wana JF mimi kiufupi ni mgeni jukwaani,jambo lililonileta hapa ni kufatia busara zenu na naamini wengi wenu ni watu wazima. Mimi ni msichana wa miala 21 na mzaliwa hapa hapa bongo,nimemaliza kidato cha nne mwaka 2002. nafanya kazi halmashauri,natafuta mchumba kama nilivyoeleza hapo juu.mbarikwe sana.
Mchumba tu basi duuu haya... Subiri wanakuja sasaiviHabari wana JF mimi kiufupi ni mgeni jukwaani,jambo lililonileta hapa ni kufatia busara zenu na naamini wengi wenu ni watu wazima. Mimi ni msichana wa miala 21 na mzaliwa hapa hapa bongo,nimemaliza kidato cha nne mwaka 2002. nafanya kazi halmashauri,natafuta mchumba kama nilivyoeleza hapo juu.mbarikwe sana.
Nadhani ni typing error,atakua anamaanisha 31yrs old!Ina maana ulimaliza kidato cha nne ukiwa na miaka 10...kid ur a freakin genius
Nadhani ni typing error,atakua anamaanisha 31yrs old!
Or labda kamaliza 2012.