chitanda.nyoka
Senior Member
- May 3, 2012
- 193
- 43
Mimi ni kijana wa kitanzania umri miaka 27 nimemaliza chuo mwaka jana 2011,natafuta msichana ambae yupo tayari kuolewa hila kuoa mungu akipenda mwakani ndo maana nna anza kutafuta muda huu huwezi ukatafuta mke mwezi huo huo ukao nadhani kwa muda ntakao kua nae kila mtu atamsoma mwenzake akiridhika na tabia process nyingine zitaendelea kama kawaida,kama ww ni muhitaji naomba uni pm,wasifu wangu kama ifuatavyo
1.elimu yangu bachelor degree msichana awe na angalau diploma
2.situmii kilevi chochote wala sivuti na huyo msichana asitumie hvyo vitu
3.sijawahi kuoa wala sina mtoto nnae mtaka awe hajawahi kuolewa wala hana mtoto
4.nna miaka 27,mwanamke akinizidi 1yr