Natafuta mchumba baadae awe mke

Natafuta mchumba baadae awe mke

Slaker

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
237
Reaction score
31
Habari,
Najitokeza kutafuta mwanamke ,awe mchumba later awe mke.

-Nina miaka 27
-yeye awe na 27 kurudi nyuma
-awe na elimu kuanzia na diploma
-dini awe muislamu.

Aliye tayari ani pm.
 
Habari,
Najitokeza kutafuta mwanamke ,awe mchumba later awe mke.

-Nina miaka 27
-yeye awe na 27 kurudi nyuma
-awe na elimu kuanzia na diploma
-dini awe muislamu.

Aliye tayari ani pm.
Nenda marangu TTC ,au mandaka au singachini utapata mwanamke mzuri sana
 
Back
Top Bottom