Natafuta mchumba baadae awe mume

2222

Member
Joined
Feb 26, 2017
Posts
8
Reaction score
3
Mimi ni msichana ni mwalimu niko Shyinyanga natafuta mchuba umri miak32_38 awe mkristo, am serious sipendi dharau wala kebehi, Mungu awabariki, mwenye nia ani PM.
 
Mwalimu, Mungu akujalie umpate unayemtarajia. Siku nyingine jitahidi kupitia ulichokiandika kabla hujapost; hii itadhihirisha ualimu wako.
Kwenye wengi there is no way kebehi na dharau sitakosekana, wewe jitahidi ku-absolve yote unayokutana nayo - take it easy
 
samahan wakuu nimekosea aliyeserious aje pm
 
Mm ningali jitokeza lakini umesema awe mkristo na lapili nahisi usingalikubali kuja kuishi Zanzibar.
 
Mimi nipo asee
ila tatizo nina dharau za Kihaya balaaa.

Ninaweza kuku-dm??
 
mim ni msichana,ni mwalimu niko shyinyanga natafuta mchuba umri miak32_38 awe mkristo, am serious sipend dharau wala kebehi, mungu awabariki,mwenyr nia ani dm
Kila la kheri "Mwalimu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…