Nick J Vuitton
Member
- Oct 6, 2016
- 56
- 153
Wakuu natumaini mko poa mimi ni kijana nina umri miaka 25 natafuta mwanamke aliye serius awe mchumba na baadaye mungu akijalia ndoa
Mimi nimejiajiri, mrefu wastani, mweusi na ninajitegemea naishi Dar es Salaam, elimu yangu ni Diploma kabila langu mchaga.
Naitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo :
1. Awe mcha Mungu
2.Umri miaka 22-28
3.Awe na umbo la kawaida asiwe mwembamba sana
4.Awe tayari kunitii na kuniheshimu kama mume
5.Awe na kazi asiwe nayo me fresh as long as anaakili ya maisha na sio mvivu
6.Awe amesoma angalau hadi form four na asiwe amepata zero [kwa maana awe na cheti].
7.Sichagui rangi awe mweupe/mweusi me fresh
8.Asiwe flat screen na wala simaanishi awe na makalio makubwa sana saizi tu ya kawaida.
9.Kabila lolote sichagui
10.Awe mtanzania na awe anaishi Dar es salaam.
Ambaye yupo interested ani pm.