Natafuta mchumba baadaye kuwa mme

caren uuu

Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
10
Reaction score
19
Nipo serious nahitaji mwanaume ambaye ana hofu ya mungu.,, mchapa kazi awe amwajiliwa au kiajiajili yote sawa, , mkristo RC, mwenye kujua nini thamani ya mwanamke,kitu kikubwa haswa AJITAMBUE , awe mwembamba., mweupe au maji yakunde., itakuwa vizuri zaid iwapo ata kuwa mbeya au mikoa jirani. Umri wake miaka 25-32 ,, asizid wala kuwa chini ya hapo, , awe serious kupima HIV, , sichagui kabila.

Mimi.mwembamba ., rangi yangu maji ya kunde mrefu wa wastani, elimu yangu form four., ila kwa sasa najishuhurisha ujasilia mali, mbunifu mavazi ya aina mbalimbali, umri wangu miaka 24 , dini yangu mkristo RC.,, kwa aliye serious njoo PM tuyajenge
 
Nadhan ningefaa hata mm ila hapo kwenye rangi ndio nimekua discolify

ILA USICHOKE ENDELEA KUPAMBANA
 
Wanasemaga wahenga sijui kizuri chajiuza kibaya chajitangaza kitu kama iko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…