Natafuta mchumba badae mke

Natafuta mchumba badae mke

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
508
Reaction score
788
Wakuu habarini!
Natafuta mchumba mwenye vigezo vifuatavyo.
1. Awe mweupe
2. Umbo namba nane
3. Tako liwepo la kawaida yaani lisizidi sana wala kupungua sana.
4. Elimu kidato cha nne mpk degree.
5. Kabila lolote
6. Umri usizidi miaka 23.
7. Awe mkiristo
8. Awe na kazi au asiwe na kazi yote sawa
9. Akiwa yupo zenji itakuwa vizuri sana.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26
Elimu yangu degree
Nimeajiriwa kwenye NGO.
Nipo Zanzibar

Sifa zangu.
1. Mrefu wa kati
2. Mweusi ila sio sana.

Karbu kwa Pm kwa mawasiliano zaidi.
 
Back
Top Bottom