Nina miaka 33, elimu yangu ni chuo, mkristo na nimeajiriwa.
Natafuta binti mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 31, awe mkristo mwenye elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea, awe ameajiriwa au kujiajiri.
Ikiwa wewe unajijua ni potential woman to be a wifey tafadhali ni PM