Natafuta mchumba hatimaye awe mke

Natafuta mchumba hatimaye awe mke

Mako2011

New Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Nina umri wa miaka 35, ninafanyakazi Dar es Salaam. Mchumba ninayemtafuta,
- Awe na umri wa kuanzia miaka 26-32
- Awe mkristo na awe tayari kuishi sehemu yoyote Tanzania au duniani
- Nina lengo la kujenga familia hivyo awe tayari kupata watoto nami

Mambo mengine nitazungumza naye wakati wa mawasiliano yetu,nami nitamsikiliza yeye nione vipi tunaweza ku-compromise

Mdada anayependa kuwa nami awasiliane kwa email: mmakoga@yahoo.com

Naomba ushirikiano wenu jf!
 
dah mimi mwisho nataka miaka 34 ndo tatizo
kila la heri lakini
 
Mbona wadada kibao walileta sredi za kutafuta waume hapa jf? je ulijaribu kuwa PM?
 
Sijui na mi nifanyeje ili nikiandika post wajue niko serious natafuta mke....Mungu nisaidie hadi mwakani nnapofunga miongo mitatu niwe na wife.
 
oooh!!! jamani bahati ilikua yangu hii!! kiduchu tu nifikie vigezo!! lol!!
 
Nyiie bado mnasumbuka? tafuteni hata kasharobaro kakiume muoe
 
Nina umri wa miaka 35, ninafanyakazi Dar es Salaam. Mchumba ninayemtafuta,
- Awe na umri wa kuanzia miaka 26-32
- Awe mkristo na awe tayari kuishi sehemu yoyote Tanzania au duniani
- Nina lengo la kujenga familia hivyo awe tayari kupata watoto nami

Mambo mengine nitazungumza naye wakati wa mawasiliano yetu,nami nitamsikiliza yeye nione vipi tunaweza ku-compromise

Mdada anayependa kuwa nami awasiliane kwa email: mmakoga@yahoo.com

Naomba ushirikiano wenu jf!

Hapo kwenye hiyo red, unajiamini kuwa una uwezo wa kumimbisha aka kupata watoto? Anyways all ze best mie ni above 45
 
Back
Top Bottom