Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
du, bahati si yangu,nina kigezo kimoja tu kati ya hivyo ulivyotaja
Hivi senene wameanza kutoka kule bukoba ama bado eeeh
habari zenu wapenda mimi ni kijana(mwanaume) mwenye umri wa miaka 26 nina elimu ya chuo kikuu niamajeriwa nina tafuta mwenza wangu awe na sifa zifuatazo
1.mkristo mkatoliki
2.wa wastani(si mnene sana wa si mwembamba sana)
3 awe ana elimu walau form 4 na kuendelea
4.umri miaka 19-24
4.anayejtambua kuwa ni mwanamke na anayehitaji kuthaminiwa kama mama wa watoto.
kwa maelezo zaidi unaweza nitumia private message .
urefu huu kama unakitambi msalaasante BABAUBAYA KWA USHAURI MIMI KWA PROFESSION NI MHANDISI, RANGI YANGU NI MAJI KUNDE NA MWILI WASTANI NINA UREFU WA 167CM