Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
- Thread starter
-
- #21
hivi mtu kama mimi mtaniitaje,baba mkristo mama muislamu maana naona vigezo vya ndoa vinanipita juu kwa juu
kwa kweli suala la dini ni siwe muongo mwanamke anabidi awe flexible kuwa mkristo mkatoliki hata kama anavigezo vingine
mkuu kwa hilo nimetafakari sana sasa issue inakuja unaweza ukachukua mlokole au protestant akawa na misimamo sana hata hataki kusikia huo ukatoliki hapo kwangu ndo kazihapo iko shughuli! Jaribu kuwa flexible kuhusu hapo red!
HEBU mPM... All da best bro..
thanks mkuu.utampata, vuta subira
umri tu jamani.....kumbe nishazeeka eeeeh!!!!!:A S 13::A S 13:
habari zenu wapenda mimi ni kijana(mwanaume) mwenye umri wa miaka 26 nina elimu ya chuo kikuu niamajeriwa nina tafuta mwenza wangu awe na sifa zifuatazo
1.mkristo mkatoliki
2.wa wastani(si mnene sana wa si mwembamba sana)
3 awe ana elimu walau form 4 na kuendelea
4.umri miaka 19-24
4.anayejtambua kuwa ni mwanamke na anayehitaji kuthaminiwa kama mama wa watoto
MIMI BINAFSI BAADHI YA SIFA ZANGU NI
engineer by profession
.maji ya kunde
.mwili wastani
.mnyamwezi
kwa maelezo zaidi unaweza nitumia private message .
pia unaweza mueleza rafiki yako kama unaona anavigezo ukipata bahati ya kupitia post hii ASANTENI