Natafuta mchumba ili aje kuwa mke

Perezo

Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
59
Reaction score
104
Habari wakuu,

Kwa Mara ya kwanza najitokeza kuandika Uzi huu special kwaajili ya kumtafuta msaidizi/mke/mchumba.

Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Dar. Dini yangu mkristo na nina mcha Mungu. Natafuta rafiki wa kike, atakaekua mchumba na hatimae mke, awe mwenye umri wa miaka kati ya 25 hadi 31, awe mkristo, anae mcha Mungu, awe mtafutaji au mwajiriwa na awe hajazaa bado.

Kwa aliye na sifa hizo, ani PM ili tuzungumze zaidi.
 
Naamini age is just a number mkuu

Kama age aint mean damn shit mbona umeweka asizidi 31?Hapa wapo hadi wana miaka 72 waruhusu nao wajaribu bahati kama utawaoa maana ww umri sio tija kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…