Natafuta mchumba ili ikuwezekana aje awe mke wa ndo

Natafuta mchumba ili ikuwezekana aje awe mke wa ndo

Amjadey

Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
83
Reaction score
31
Upande wangu
Mwanaume
Umri 30
Dini muislamu
Nimeajiriwa

Mwenza:
Awe na umri kati ya 23 hadi 30
Awe muislam
Awepo Dar es salaam
Kuwa na watoto au kutokuwa nae tutajadiliana.
 
Back
Top Bottom