Wakuchakachua
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 346
- 9
'..hata kadegree kamoja': specify hapa pls, inaonekana 'kadegree kamoja' hakana nguvu sana kwako, naogopa kujitosa mie japo ni mhitaji.
'..hata kadegree kamoja': specify hapa pls, inaonekana 'kadegree kamoja' hakana nguvu sana kwako, naogopa kujitosa mie japo ni mhitaji.
jamni tupewe tu maana lolooo hatulali kwa mawazo labda huko tutatokamo jamani...........yeleeeeeeewi!!Hivi kuna walioshafanikiwa humu Jamvini kupata mwenza wao?..... Mods I said it Once and I will Say it Again, na wengi wameshasema... (Wengi Wape sasa Kama Demokrasia inatushinda humu Jamvini Tu Je huko Nje Tutaweza?)
Tunahitaji Singles forums itasaidia wengi....... tena if you ask me unaweza ukalifuta lile Jukwaa la Uchaguzi 2010 ukabadilisha Jina Tu sababu hilo Jukwaa halina faida... Ila seriously Single Forums iwe Sub Forum ya Mahusiano....
Unajua Rose, kusema mchumba manake aitwe mme baadae, na hapa huanza safari ndefu sana, hivyo mimi najaribu kuchek tyre pressure, na vitu vingine ili safari ifike mwisho wake.. Ukianza hivihivi huwezi kufikaUSHAFELI
UNAONEKANA HAUJIAMIN..jiamini kwa kadregree kamoja pia utaweza kuwa baba mwema icho ndo anaitaji mtoa mada
mtoa mada seems 2b free soul so utapata maombi meng
ol da best wa kuchakachua bt uwe serious kweli usije ukawachakachua wenzako
Hivi hi JF kuna wakaka single kweli??mbona mi siwaonagi wakichangamkia opportunities ka hizi, my dear ukimpata uje useme ili na ma-single ladies wengine warushe ndoano zao..............LOL
Hivi hi JF kuna wakaka single kweli??mbona mi siwaonagi wakichangamkia opportunities ka hizi, my dear ukimpata uje useme ili na ma-single ladies wengine warushe ndoano zao..............LOL
Nina sifa zote za mume bora ila umenitoa no kauti kwa kigezo cha degree maana mimi ni darasa la saba.Sasa kama ukinikubalia kisha ukaniendeleza mpaka nipate hako kadegree itakuwa vyema na hutojutia uamuzi wako,ila tu naomba niulize,hivi degree nayo ni sifa ya mume bora siku hizi?
Hivi hi JF kuna wakaka single kweli??mbona mi siwaonagi wakichangamkia opportunities ka hizi, my dear ukimpata uje useme ili na ma-single ladies wengine warushe ndoano zao..............LOL