Natafuta mchumba jamani

Unapenda kuendelezwa eeeeh,degree ni moja ya sifa wewe na watoto wake watakula ma......... yako?excuse my language!at least degree ina guarantee.........LOL



Haya wasomi...........,na lugha zenu hizi........,mh...!!!Kwani ambao hawana degree watoto wao hawali?
 
wakuchakachua una degree ngapi? kama ipo/zipo ni fani gani? isijekua una degree ya lugha ya kiarabu
 
Hivi hi JF kuna wakaka single kweli??mbona mi siwaonagi wakichangamkia opportunities ka hizi, my dear ukimpata uje useme ili na ma-single ladies wengine warushe ndoano zao..............LOL

aiiii weweeee
 
Basi ni vizuri tutengeneze JF Single club,kama wakaka wote hap wako single halafu hapa hapa watu wapo???hivi nani hatofurahi kuambiwa Paka Mweusi na Michelle walikutana hapa JF??ikaanza kama utani then ikawa kweli?manake bwana hamna sehemu maalum ya kukutana na mwenzi wako?????:A S 465::wink2: Mods please,mtoto wetu wa kwanza tunamuita Jamii Forum....................LOL
 



Shabaaaaash...........Mwanzo mzuri huu,Mods please do ze nidful pliiiz..........
 
badili jina mwanakwetu, hilo jina litakuponza
 

hahahahahaha i like your posts michele:A S 465::A S 465:
 
WAKUCHACHUA ANATAK KUWACHAKACHUA NYIE. HAYA NICALL NIJE KWENYE INTAVIEWWWWW 0712507217:alien::alien::alien::alien::alien:
 

kama kweli uko serious niPM mimi, ukinipm mi najuia kweli umedhamiria- niPm shauriyako na mimi niko serious mama ohooo........
 

Umri wako please......
 
HA! Wewe wa kike ama wa kiume!??
1. Badili jina kwanza..
2. Weka sifa zako..
3. we shall see how it goes!

mi ni wa kike kaka! we unataka sifa zipi ? explain zote utapewa.
jina nichagulie wewe
 
mi ni wa kike kaka! we unataka sifa zipi ? explain zote utapewa.
jina nichagulie wewe

Tuseme ujiite: mkunde oko, Psalm31, Cutsey, Asali wa moyo, Mpenzi wa kweli, au jina lingine zuri tu!

sifa mbazo mi nigependa ni:
- of course asizidi 25 yrs.
- mkristo na siyo mkristo jina.
- mwenye mawazo ya kimaendeleo/kibiashara (for lack of a better example, akae kimachame zaidi wen it comes to a business mind)
- Encouraging
- atoke popote except coastal line (ni mtazamo tu, msinitupie mawe) na asiwe Mmachame (huu ni mtazamo wa baba yangu, ni wa zamani jamani, mumuelewe tu! av tried to convince him amekataa kubadili mtizamo)
- Labda tuanzie hapo..any hopes!??
-
 
hongera mpendwa kwa kuvunja ukimya. oct mwaka jana nilimfanikiwa kumshawishi mchumba wangu aniache na hadi leo hajapata mwingine na huwa namhurumia sana. yeye si mpenzi wa JF, vipi naweza kumshawishi aje hapa kuleta ombi lake?
 
wakuchakachua una degree ngapi? kama ipo/zipo ni fani gani? isijekua una degree ya lugha ya kiarabu

mie sina na ndio maana natafuta mwenye nayo....sa wote tukiwa hatuna itakuwaje home.......na vile wote tukiwa nazo jeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…