Natafuta mchumba (KE) Njombe

Natafuta mchumba (KE) Njombe

Lambo jini

Senior Member
Joined
Aug 28, 2018
Posts
198
Reaction score
235
Mimi kijana (ME) wa miaka 25, natafuta mchumba serious, awe na miaka 22-30

Nipo mkoa wa Njombe.

Nimeajiriwa kipato 200k kwa mwezi.

Shukrani.
 
Unatafuta matatizo umechoka kuwa huru unatafuta Gelezaa
 
Back
Top Bottom