Natafuta mchumba kwaajili ya kuoa

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
7,804
Reaction score
12,237
Mimi ni Mwanaume mwenye miaka 26 najitokeza kwa mara ya kwanza katika jukwa hili kwa lengo la hapo juu kwenye heading Nataka kumuoa.

Sifa;
Umri: miaka 19-22

Elimu : Angalau Certificate,Diploma or Degree ya ualimu au Nursing

MUONEKANO
Rangi yeyote asiwe anajichubua

Mrefu wastani kwa sababu mimi nina 5 feet and 8inches


Aliye tayari ani PM nimpe mawasiliano.

Natanguliza shukrani

Majibu ya kejeli na kuelekezana madanguro yalipo sipendi. Kama wewe hausiki piga kimya maisha yaendelee!
 
Kama uko Dar nenda kambi ya fisi au magomeni kwa macheni kama uko A.Town nenda mrina au matejoo kuna wachumba wengu mkuu.


swissme
 
Kama uko Dar nenda kambi ya fisi au magomeni kwa macheni kama uko A.Town nenda mrina au matejoo kuna wachumba wengu mkuu.


swissme

Watch your fingers!
 

Kwenye red....kutoka vyuo vinavyotambulika.
 
Kanisani, Mtaani, Kjjijini kwenu hakuna watu?
 
CC: FaizaFoxy
 
TISS at work... hii kitu ya wachumba wa JF ni mwiba sasa hivi .. kuna jamaa yangu wa jf alidakwa hiv hiv na hapa hapa.. alikuwa anatapika kama mange kumbe wanamchora tu.. wakajifanya wanatafuta mchumba wakakamata detail zake wakampa bonge la bit .. sas ahivi mwana hata JF haji tena
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Utanhadithia vzr hii story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…