Natafuta mchumba(lady)

Natafuta mchumba(lady)

Joined
Aug 20, 2017
Posts
15
Reaction score
5
Wadau,

Mimi mwanaume, natokea Kenya, Nairobi Lakini niko na encounter kadhaa za bongo ila mimi sio mswahili so Msijali lugha yangu sana.

Nawaheshimu watu wa TZ kwani wengi ni watu wa heshma sana, waume kwa wake. So Big up sana. I love guys from TZ.

Ila sasa natafuta mke wa kuoa. Ila awe tu ametoka Tanzania. Kabila sio hoja kuu ila binti awe wa heshima na aliye tayari kuanzisha maisha ya ndoa.

Lingine ni kuwa awe mkristo, chini ya miaka 25, masomo makubwa sio lazima, awe ana bidii, asiwe mnene sana. Nina heshima na ustaarabu kiasi chake.
ukiwa interested, PM tufahamiane zaidi. Niko 28 years.

Maoni yenu pia yamekaribishwa wakuu.

Big up!
 
naona vyenye unawakilisha taifa la kenya buda

Sent from my Android phone
 
Back
Top Bottom