Natafuta mchumba lakini uwe unasoma DUKE

Natafuta mchumba lakini uwe unasoma DUKE

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
kama unasoma duce halafu upo single naomba tuwasiliane...
 
Last edited:
If at all you are serious ingekuwa bora kama ungeenda kwenye network ya watu wa Duke, hapa ni kama unatafuta out of range.
 
Ndio nilikuwa namaanisha hicho chuo.thanks 4 the link.

Mazee kwanini usiweke tangazo hapo chuoni? lets say kwenye website ama mbao za matangazo hapo Duke...maana JF kuna wadada wapo Kyela, Dar wengine Sikonge utakuwa umepunguza sana sample size!
 
Mazee kwanini usiweke tangazo hapo chuoni? lets say kwenye website ama mbao za matangazo hapo Duke...maana JF kuna wadada wapo Kyela, Dar wengine Sikonge utakuwa umepunguza sana sample size!

Nashukuru kwa ushauri..ila kwenda kuweka tangazo ni miyeyusho zaidi.ila nia yangu ni kuoa mwalimu ndo maana nimependekeza duke.
 
kaka nakusoma koote tanga hukweza kuopoa mtoto pale majani mapana?
 
kaka nakusoma koote tanga hukweza kuopoa mtoto pale majani mapana?

Mkuu hata kama ningeopoa najua asingeningojea hadi sa ivi..ila jamaa wananishauri nikirudi niende duke mwenyewe kuwinda pale ndo itakuwa makini🙂
 
Huyu Mzushi sijui anazungumzia DUKE ya US ama DUCE ya Dar?
 
Mkuu kwani waliosoma DUCE wana sifa gani za ziada au tofauti na wa vyuo vyingine??
 
Back
Top Bottom