Natafuta Mchumba (Mdada)

Natafuta Mchumba (Mdada)

Withcare

Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
42
Reaction score
55
Halo Guys (Ladies and Gentlemen)
Kama uzi unavyojieleza,
Nimejitokeza hapa jukwani kutoa langu la moyoni
Incase kuna mdada umri chini ya miaka 28 anahitaji mchumba basi aniPM
Sifa: Awe mkristo
Umri (less than 28)
Elimu atleast kidato cha nne
Awe Dar es salaam/Mikoa jirani
NB: Tukipendana nitamjali daima
Nawasilisha..Mengine tutaongea PM kwa wenye nia
 
Ha ha ha ha ha ha ha haaaah maisha yamekuwa tafu mpaka mnatafuta mabwana wa kuchuna kwa kigezo cha uchumba, najaribu kuwaza hapa wameingia pm wanaume 50 na wote wanakubaliwa na kila mmoja anakuwa treated kama mchumba lakini in reality ni mabuzi wanaochunwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umecomment vizuri

ila sio kwa uzi huu, labda usome tena
 
Halo Guys (Ladies and Gentlemen)
Kama uzi unavyojieleza,
Nimejitokeza hapa jukwani kutoa langu la moyoni
Incase kuna mdada umri chini ya miaka 28 anahitaji mchumba basi aniPM
Sifa: Awe mkristo
Umri (less than 28)
Elimu atleast kidato cha nne
Awe Dar es salaam/Mikoa jirani
NB: Tukipendana nitamjali daima
Nawasilisha..Mengine tutaongea PM kwa wenye nia
Dhima ilikuwa ni jinsia ya kike nadhani haikuwa sahihi kuwajumuisha wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi ngoja nije na ile ID yangu nyingine nitafuta mdada, sifa kubwa awe na chura![emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom