ila sio kwa uzi huu, labda usome tenaHa ha ha ha ha ha ha haaaah maisha yamekuwa tafu mpaka mnatafuta mabwana wa kuchuna kwa kigezo cha uchumba, najaribu kuwaza hapa wameingia pm wanaume 50 na wote wanakubaliwa na kila mmoja anakuwa treated kama mchumba lakini in reality ni mabuzi wanaochunwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekurupuka huyu jamaa...tatzo watz wavivu kusomaMkuu umecomment vizuri
ila sio kwa uzi huu, labda usome tena
Ila huyu ni mwanaume anatafuta mdadaHa ha ha ha ha ha ha haaaah maisha yamekuwa tafu mpaka mnatafuta mabwana wa kuchuna kwa kigezo cha uchumba, najaribu kuwaza hapa wameingia pm wanaume 50 na wote wanakubaliwa na kila mmoja anakuwa treated kama mchumba lakini in reality ni mabuzi wanaochunwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhima ilikuwa ni jinsia ya kike nadhani haikuwa sahihi kuwajumuisha wanaumeHalo Guys (Ladies and Gentlemen)
Kama uzi unavyojieleza,
Nimejitokeza hapa jukwani kutoa langu la moyoni
Incase kuna mdada umri chini ya miaka 28 anahitaji mchumba basi aniPM
Sifa: Awe mkristo
Umri (less than 28)
Elimu atleast kidato cha nne
Awe Dar es salaam/Mikoa jirani
NB: Tukipendana nitamjali daima
Nawasilisha..Mengine tutaongea PM kwa wenye nia
Labda chura feki original zipo na wenyeweNa mimi ngoja nije na ile ID yangu nyingine nitafuta mdada, sifa kubwa awe na chura![emoji1][emoji1][emoji1]