Natafuta mchumba mgumba au ambae hayuko kuzaa.

flamini

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
533
Reaction score
586
Habari

Ni kijana wa miaka 25
Kutokana na matatizo Yangu(kiafya)sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida.
Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi.
Nimejiajiri
Ni msomi,mstaarabu na mvumilivu.
Kama mtoto tunaweza kuasili kama tukikubaliana.

Sifa zako
Uwe mgumba au uwe tayari tuishi bila kuzaa
Usiwe mnene sana
Uwe unajishughulisha
Rangi yoyote

Maswali mengine njoo DM siwezi kuandika kila kitu.
 
Ushauri wangu.
Naomba utueleze kwanini usiwe na uwezo wa kuzaa, watu wanaweza kukusaidia na mm pia nikakuelekeza kitu.
Tatizo nini kaka?
 
Mkuu acha tu,hadi naamua kuyakubali matokeo ujue I can't take it anymore.
Sutaki nijipe stress za kuzaa Tena.
Kujikubali na kukubali matokeo Yangu kutayafanya maisha Yangu yasiwe na presha ya kuzaa kutoka kwangu na jamii ndio maana natafuta ambaye yuko tayari kama mimi
 
Naam mkuu kujikubali tatizo lako ni moja ya tiba pia Psychologically, mkuu kama ulivyojikubali tatizo lako ndo uelezee pia kipi kinakusibu. Yawezekana tumekutana hapa makusudi. Nothing possible under the sun.

Nb. Naheshimu maamuzi yako pia ya kutosema tatizo lako.
 
Mkuu asante sana kwa kujali.
 
You are just 25 na umekata tamaa kabisa? Watoto ni zawadi, sayansi ni endelevu. Miaka 20 ijayo utakuwa 45, umeshawaza sayansi na teknolojia itakuwa imetufikisha wapi?

Tafuta mchumba atakaekukubali katika Hali zote huku ukiwa wazi kuhusu hizo changamoto zako za kiafya. Manake unahofia kuzaa, 5 yrs to come unaweza kukatika miguu yote ama kupofuka macho.

Nakutakia maisha marefu, afya njema na furaha
 
Sijakata tamaa mkuu ila nimesema sitoweza kutia mimba kwa njia ya kawaida and yes kama nikiweza afford other options ntafanya.

Ndio maana natafuta MTU ambaye mwenye hali kama hii ili tuweze kuishi bila kutiana presha ya uzazi na kuzaa.
 
Relax.
Niongezee tu wapo watu wengi tu ambao hawafikirii kuwa na watoto.
Kila la kheri mkuu
Sijakata tamaa mkuu ila nimesema sitoweza kutia mimba kwa njia ya kawaida and yes kama nikiweza afford other options ntafanya.

Ndio maana natafuta MTU ambaye mwenye hali kama hii ili tuweze kuishi bila kutiana presha ya uzazi na kuzaa.
 
Eleza tuu mzee kama ni sperm count, quality, abdomality pia unaweza ukapata ushauri humu
 
Usikatee tamaa uoni bashite sasa hivi anaitwa baba baada ya uvumilivu kusemwa na watu tena mdaa mwingine mpaka bungeni
 
Back
Top Bottom