Natafuta mchumba mgumba au ambae hayuko kuzaa.

Najaribu kuges tyu, what you feel..kiukweli INAUMIZA SANA. Pole sana Mkuu, may God be with you.
 
Logic...
 
Kwa wale ambao hawana kabisa mbegu za kiume..plan B inakuaje?????
 
good advice
 
Habari zenu

Toka niposti mpaka leo sijapata mtu,bado natafuta
 
Habari zenu

Toka niposti mpaka leo sijapata mtu,bado natafuta
 
Habari zenu

Toka niposti mpaka leo sijapata mtu,bado natafuta
 
Usikate tamaa lisilowezekana kwa Wanadamu kwa Mungu linawezekana.
 
Wewe bado mdogo sana. Usikate tamaa. Hata kama dokta kakwambia huwezi kumzalisha mwanamke, usijisikie vibaya. Kama unaweza kukusanya hela za kutosha kuna kitu kinaitwa IVF. ( Intravero Fertilisation) Mbegu zako zikachukuliwa mkeo akawekewa akabeba mimba kama kawaida. Na kama tatizo lingine lipo, kuna vyakula na madawa ya kuongeza hormone (testesterone) za kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume. Usikate tamaa. Lakini wewe mtafute tu mke ambae atakukubali na hali yako ya sasa. Ila amini huko tuendako teknolojia ya kutibu tatizo lako itakuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…