Natafuta mchumba/mke mtarajiwa

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
846
Reaction score
521
Mimi ni kijana wa miaka 30, ninaishi na kufanya kazi Nairobi Kenya. Natafuta mchumba awe na sifa zifuatazo:

1. Umri kuanzia miaka 22 hadi 24.
2. Awe mkristo.
3. Awe na utayari wa kuolewa na kuishi Nairobi.

Vipaumbele vifuatavyo vitazingatiwa:
1. Awe ni mchaga kwa kabila.
2. Mweupe au maji ya kunde.
3. Bikra.
 
Hapo kwenye Bikra hujasema ni bikra ya wapi..?
 
Mpaka Kenya nzima kukosa mke.una matatizo au wewe lofa wa kutupwa unadhani wanawake watababaika kwa kuwa wewe Mkenya mkaa Nairobi

Nairobi kuna maeneo ya malofa wakubwa duniani wanaishi Mathare

Mathare ni moja ya Slums kubwa zinazotambulika duniani wanakoishi maskini wa Nairobi

Na wewe waweza kuwa unaishi Mathare Nairobi ndio maana wamama wote wazuri wa Kenya wamekataa kuolewa na wewe .Lofa mkubwa wewe
 
Dah umempa za uso
 
Mkuu sikushangai sababu binadamu tunakuwa na mitazamo tofauti sana, Si kila anayeishi Nairobi ni mkenya. Inshort mm si mkenya bali ni mtanzania (mchaga halisi) ndio maana nimependelea kuoa nyumbani.
 
Awe bikra[emoji23]
Mchaga[emoji23][emoji23]
Mweupe/maji ya kunde[emoji23][emoji23][emoji23]

Imeisha hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Humu tatizo lilopo watu hawapo serious duh kama wanapatikana mbona sisi hatuwapati jf au tuna mkosi [emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…