Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,663 Oct 20, 2011 #1 Habari zenyu jf natafuta mchumba ambaye atakuwa my wife baadaye tafadhali ni pm kama uko tiyari Nb:asiwe mwenye mtoto ama kuachika awe mkiristu umri 20
Habari zenyu jf natafuta mchumba ambaye atakuwa my wife baadaye tafadhali ni pm kama uko tiyari Nb:asiwe mwenye mtoto ama kuachika awe mkiristu umri 20
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Oct 20, 2011 #2 Mbona umeficha wasifu wako? Express yourself yakhe!
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,663 Oct 21, 2011 Thread starter #3 umri wangu ni 23 yrs sijaoa wala sijaacha wala mtoto sina so ningependa mtu ambaye yuko single zaidi ya single.
umri wangu ni 23 yrs sijaoa wala sijaacha wala mtoto sina so ningependa mtu ambaye yuko single zaidi ya single.
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Oct 21, 2011 #4 kweli wewe upo tayri kuoa?