natafuta mchumba/mke wa maisha umri usizid miaka 25

natafuta mchumba/mke wa maisha umri usizid miaka 25

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
nimechoka kuishi mpweke na kazi zangu za kukaa kwemye computer nakosa muda wa kutafuta mchumba ambaye atakuwa mke wangu,nimeamua kujaribu bahati yangu apa kama naweza pata mchumba awe binti,umri usizid miaka 25,awe mcha mungu na mchapa kazi asiyeamin kufanikiwa adi uajiriwe.
ukiwa na swali lolote unaweza niuliza,naamin nitapata mchumba mwema apa
 
Kuajiriwa Ni Moja Ya Hatua Ktk Kuyaendea Manikio, Si Kupata Mtaji Tu...Bali Pia Utajua Mbinu Za Kuweza Kujiajiri!!(Ni Angalizo Tu)
Matafuto Mema Mkuu!!
 
Back
Top Bottom