Natafuta mchumba/mke

the kv

Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
11
Reaction score
2
Habar zenu wana jamii forum hususani wale wa kitengo hiki? Kama kichwa cha habar kinavyoeleza natafuta mchumba wa kike ambaye atakuwa mke wangu. Elimu yangu ni degree moja nilihitimu mwaka 2015 lakini mpaka sasa nasubir ajira iila kwa bachelor degree niliyosomea nina uhakika nitaajiriwa ila ni lini hapo sijui. Mchumba ninayemtafuta awe na kazi ili tuwe tunasaidiana kwenye mambo mbalimbali. Kwa aliye tayar plz aniinbox anipe namba zake nitampa details kuhusu mimi. Naomba kuwasilisha
 
Degree gani hio(ya nini)?
Uhakika wa ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…