Natafuta mchumba (mke)

Natafuta mchumba (mke)

lusanasaimon

Senior Member
Joined
Jan 19, 2023
Posts
108
Reaction score
264
Mimi bado nikijana, nina miaka 25
elimu yangu ni darasa la saba
ninajishugulisha na biashara (maduka) Tanzania na Zambia, ninatafuta mchumba awe na vigezo hivi
miaka 18/24,

Awe na hofu ya mungu
dini mkristo na awe na uhitaji kama wangu (ndoa)
kuhusu elimu (yoyote)
asiwe single mother,
260975549649 whatsapp namba. aje tuyajenge
 
Msebule umewakosea nini hadi kila siku ni kutafuta Mchumba tu mnaotafuta Ke mitandaoni kama bidhaa?

Hivi ni mimi kweli ndiye nimeandika hivyo[emoji3516][emoji848]
 
Msebule umewakosea nini hadi kila siku ni kutafuta Mchumba tu mnaotafuta Ke mitandaoni kama bidhaa?

Hivi ni mimi kweli ndiye nimeandika hivyo[emoji3516][emoji848]
nilicho wasoma wanawake (mabinti) wa humu JF.
wanataka wasomi
 
The purpose of marriage is not to make women happy, or to make men happy.

The purpose of marriage is to ensure that every child is born into a situation where they will have easy access to their mother and a father.
 
Back
Top Bottom