Natafuta mchumba msichana awe na umri usiozidi miaka 26, elimu yoyote ila asiwe na zaidi ya masters, rangi yoyote, dini yoyote, umbile urefu asizidi ft 5,4", asiwe mnene au mnene aliye tayari kufanya mazoezi.. Mimi ni mtanzania, mweupe, elimu shahada 1, umbile mnene kiasi, dini mkristu, urefu ft 5,4",....mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia 'pm' na wale mnaoingia jf kama wageni itabidi mjisajili tuwasiliane kwa PM.. Mungu nibariki'