mimi ni kijana nina akili timamu jinsi navoji feel. na huwa najihisi kamili zaid napopiga konyagi mizinga 2. tatizo langu kila mwanamke naempata ananichezea tu akinichoka ananiacha yaani nimeachwa na km wa4 sasa. sasa natangaza bahati ya mwisho hii ambayo ni adimu sn! alietayari aandike namba yake humu nitam beep kesho tuongee.