Natafuta mchumba mpole


Sasa mbona unatafutia JF atatoka wapi huyo ambae sio mtata wakati nae ni member wa JF ulipotoa tangazo??? Au unataka wadogo zetu ambao sio member wa JF??
 

Uko jela mpaka uagizie mchumba au una matatizo ya kum-approach binti na kujieleza shida zako,yaani kutogoza. Jamani tunaoweza kutongoza kumbe tuna vipaji ambavo wengine hawana!!!!
 
Nimecheka kwa hii thread mpaka basi lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…