age ain't a thangggggOops nimekosa nafasi kizee mie:bump:
mchumba kwa JF inawezekana ila itabidi umsome muda mrefu sana maana ile tit for tat unaweza jikuta unaolewa badala ya kuoa!All the best,
na mimi nina nia hiyo hiyo ila kwa kuwa bado mgeni nipo nasoma mazingira kwanza. Lakini mbona kama vile wengine wanasema haiwezekani kupata mchumba humu, ina maana wote wameolewa au waliopo hawafai?
All the best,
na mimi nina nia hiyo hiyo ila kwa kuwa bado mgeni nipo nasoma mazingira kwanza. Lakini mbona kama vile wengine wanasema haiwezekani kupata mchumba humu, ina maana wote wameolewa au waliopo hawafai?
wewe jitose tafuta,kusomana ni mbele ya safari...humu utamsomaje mtu?si unasoma maandishi tu??<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/painkiller.gif" border="0" alt="" title="Painkiller" smilieid="235" class="inlineimg" />
Ukimpata urudi kutuppa feedback sio utokomee
akinogewa unafikiri atakumbuka!
Hi! naitwa paul nina umri wa miaka 28,ni mwanafunzi wa chuo .natafuta mchumba ili mungu akipenda,aje kuwa mke wangu wa ndoa.anatakiwa awe mkristo na mwenye hofu ya mungu,umri kati ya 18-26.kama kuna mtu yuko tayari tuwasiliane kwa email(salawaps@yahoo.com) kwa mawasiliano zaidi.please this is serious.
Tag iko kwa ajili yako kaka,ingawa roho inauma nimekosa nafasi adhwiiiiiiiiiiiiiiim,bado naimani itakuja tena,wakaka nami nasaka mume jamani