Natafuta mchumba mschana ili mungu akipenda aje kuwa mke wangu.


Wewe unasema Mungu akipenda,ni mungu gani huyo unayemzungumzia?Kama unamzunguzia Mungu wa Israel, hataki utafute mwamke kwenye mtandao.Mtakuja kuoa makahaba na majini.
 
Ushindwe kabisa maana Mungu asipopenda awe mke wako si utakuwa umeshamrukia bure binti wa watu na kumwongezea list ya waliomfunua
 
hiivi wengine huwa hawako serious eeh? weka na picha yako kamanda kuprove usiriazi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…