Natafuta Mchumba , msichana anayejiheshimu

sagemba

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
467
Reaction score
30
Mimi ni mwanaume,umri wangu ni miaka 28,elimu yangu ni ya chuo kikuu (masterz),ni mwajiriwa,
natafuta mchumba mwenye umri wa miaka 20-30,dini yoyote ile,rangi yoyote ile,sio lazima awe anafanya kazi,elimu kuanzia form six na kuendelea,asiwe bonge au mwembamba sana, yeyote aliye serious aniPM for more conversations.

NB: Mimi sio domozege,ila nimeamua kutumia hii platform kama njia ya kuexpand my choices, may be my dream girl yuko humu JF who knows?:A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Una 28 unataka mwanamke up to 30 years!!!! Kweli sasa naona uafrika unaanza kutoweka!!! Kuna jamaa yangu alikuwa na girlfriend mwenye sifa zote za kuitwa mama kiasi kwamba hata mimi nilimpenda alivyo (nilishaoa enzi hizo). Ila eti alimwacha kwa kumzidi tu mwaka mmoja (he was 28 while she was 29). Hakika nilimshangaa sana rafiki yangu yule. Walidumu urafiki over 5 years ila mwishoni jamaa akamwambia sitaweza kukuoa. Binti alilia sana akizingatia muda aliopoteza na hakika alikuwa mwaninifu mno. Nilijisikia vibaya kwa kuwa nami nilimzoea. Nikamtia moyo kuwa atakuja mwanaume atakuondoa uchungu wote. Hakika haikupita miezi 6 akammpata mwanaume mwingine, tena good better looking and wealthier kuliko jamaaa. Walidumu for a year then wakatangaza uchumba na akaolewa kabla ya yule ex hajaoa!! Nisemavyo sasa hivi maisha yake ni mazuri sana katika maelewano ya ndoa, wana utajiri wao wa kufa mtu!! Binti hi hardworking and caring kiasi kwamba jamaa kila siku nikikutana naye ananishukuru mno (mimi nilimuunganisha kwa rafiki yangu mwingine).
 
Mimi ni mwanaume,umri wangu ni miaka 28,elimu yangu ni ya chuo kikuu (masterz),ni mwajiriwa,
natafuta mchumba mwenye umri wa miaka 20-30,dini yoyote ile,rangi yoyote ile,sio lazima awe anafanya kazi,elimu kuanzia form six na kuendelea,asiwe bonge au mwembamba sana, yeyote aliye serious aniPM for more conversations.

NB: Mimi sio domozege,ila nimeamua kutumia hii platform kama njia ya kuexpand my choices, may be my dream girl yuko humu JF who knows?:A S-heart-2::A S-heart-2:[/QUOT
 
Mimi ni mwanaume,umri wangu ni miaka 28,elimu yangu ni ya chuo kikuu (masterz),ni mwajiriwa,
natafuta mchumba mwenye umri wa miaka 20-30,dini yoyote ile,rangi yoyote ile,sio lazima awe anafanya kazi,elimu kuanzia form six na kuendelea,asiwe bonge au mwembamba sana, yeyote aliye serious aniPM for more conversations.

NB: Mimi sio domozege,ila nimeamua kutumia hii platform kama njia ya kuexpand my choices, may be my dream girl yuko humu JF who knows?:A S-heart-2::A S-heart-2:

juc pm me
 
kwani nani amekwambia kuwa wanaotafuta wachumba kwa njia uliyotumia ndio domo zege kama ulivyoandika hapo kwenye nyekundu sasa yawezekana wewe ni domo zege kweli jaribu kwenye makanisa napo kuna wachumba wengi tu kwenye maharusi msibani ila uwe makini na huko vyuoni wapo na siyo JF hapa yapo mengi yaliyoshindikana ila kama ya kugegeda yapo ila yakuoa sidhani
NB: siyo kila mwanamke anafaa kuwa mke
 
[/COLOR]

na si kila mwanaume anafaa kuwa mme mfano wewe kwani wa kanisani n.k wengine si wa jf kwani umeambiwa jf ni kijiji wanaishi humu?acha mawazo mtindi
 
Kwa style hii huwezi kupata mchumba wa kweli. Mchumba wa kweli hatafutwi kama king'amuzi.
 
Back
Top Bottom