Natafuta mchumba/Msichana wa Kuoa

Natafuta mchumba/Msichana wa Kuoa

Ballack-13

Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
63
Reaction score
82
Awe na umri kuanzia miaka 24 hadi 30
Dini awe mkristo
Elimu yake kuanzia form four na kuendelea
Rangi yoyote sibagui
Awe anajihusisha na shughuli yoyote halali
Sifa zangu Mimi
Miaka 30
Elimu yangu Degree
Kazi yangu mfanyabiashara
Dini yangu Mkristo
Karibuni PM kwa mwenye hizo sifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awe na umri kuanzia miaka 24 hadi 30
Dini awe mkristo
Elimu yake kuanzia form four na kuendelea
Rangi yoyote sibagui
Awe anajihusisha na shughuli yoyote halali
Sifa zangu Mimi
Miaka 30
Elimu yangu Degree
Kazi yangu mfanyabiashara
Dini yangu Mkristo
Karibuni PM kwa mwenye hizo sifa

Sent using Jamii Forums mobile app
wanawake wa kutafuta kama dagaa hivyo utalia na kusaga map*mbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awe na umri kuanzia miaka 24 hadi 30
Dini awe mkristo
Elimu yake kuanzia form four na kuendelea
Rangi yoyote sibagui
Awe anajihusisha na shughuli yoyote halali
Sifa zangu Mimi
Miaka 30
Elimu yangu Degree
Kazi yangu mfanyabiashara
Dini yangu Mkristo
Karibuni PM kwa mwenye hizo sifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmm sawa ila jiandae kuibiwa maana kuna sehemu za kuomba mchumba lakini humu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom