Ballack-13
Member
- Jul 8, 2018
- 63
- 82
Kuweni serious muda mwingine. Sio kila muda wa jokes na games. Kuna majukwaaa yake.
Sawa serious man, nisamehe mimi.japo sijaelewa wapi sijawa serious, mi najaribu bahati yangu unaita joke,poa tu.Kuweni serious muda mwingine. Sio kila muda wa jokes na games. Kuna majukwaaa yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
wanawake wa kutafuta kama dagaa hivyo utalia na kusaga map*mbuAwe na umri kuanzia miaka 24 hadi 30
Dini awe mkristo
Elimu yake kuanzia form four na kuendelea
Rangi yoyote sibagui
Awe anajihusisha na shughuli yoyote halali
Sifa zangu Mimi
Miaka 30
Elimu yangu Degree
Kazi yangu mfanyabiashara
Dini yangu Mkristo
Karibuni PM kwa mwenye hizo sifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali, but amini. Ulikuwa una mzingua huyo, mwandishiSawa serious man, nisamehe mimi.japo sijaelewa wapi sijawa serious, mi najaribu bahati yangu unaita joke,poa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka tu kunizibia rizki mkuu,ila freshi tu, sasa hata wewe ukihitaji mwenye umri kama huo wangu nichekii.
[emoji3][emoji3]...crazy Sana wew. Ila oky twende sawa.Ulitaka tu kunizibia rizki mkuu,ila freshi tu, sasa hata wewe ukihitaji mwenye umri kama huo wangu nichekii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Woiii, just hope you have already seen my pm[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...crazy Sana wew. Ila oky twende sawa.
Nilikuw nasaka sana type yako. Tena mwenye uthubutu wa kuja PM[emoji395][emoji395]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmm sawa ila jiandae kuibiwa maana kuna sehemu za kuomba mchumba lakini humu!Awe na umri kuanzia miaka 24 hadi 30
Dini awe mkristo
Elimu yake kuanzia form four na kuendelea
Rangi yoyote sibagui
Awe anajihusisha na shughuli yoyote halali
Sifa zangu Mimi
Miaka 30
Elimu yangu Degree
Kazi yangu mfanyabiashara
Dini yangu Mkristo
Karibuni PM kwa mwenye hizo sifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka tu kunizibia rizki mkuu,ila freshi tu, sasa hata wewe ukihitaji mwenye umri kama huo wangu nichekii.
Sent using Jamii Forums mobile app