Natafuta mchumba (msichana)

Natafuta mchumba (msichana)

riara

Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
30
Reaction score
45
wana jf hamjambo?...
Napenda kuwatangazia kuwa namtafuta mchumba wa kike ambae mungu akitujalia tutafunga nae ndoa.

Sifa zangu:

•Rangi: Maji ya kunde
•Jinsia: male
• Umri : 33
•Dini : mkristo
•Elimu : shahada ya uzamili
•Kazi: civil servant
• Sina Mtoto


Sifa za msichana (mchumba)

-Umri 25-32
-Elimu shahada ya kwanza & above
-Dini mkristo
-Kazi: awe anajishughulisha.
-Asiwe na Mtoto
- Rangi any
Kama kuna msichana ambae yupo serious kuolewa Karibu PM kwa mazungumzo zaidi.
 
Kila la heri mkuu, Mungu akifanyie wepesi kwenye hitaji lako,
 
civil servant opoa staff wenzako wewe au wa ofisi za jirani. kwa madem wa mtandaoni ni wakumega na kusepa tu.
 
Back
Top Bottom