wana jf hamjambo?...
Napenda kuwatangazia kuwa namtafuta mchumba wa kike ambae mungu akitujalia tutafunga nae ndoa.
Sifa zangu:
•Rangi: Maji ya kunde
•Jinsia: male
• Umri : 33
•Dini : mkristo
•Elimu : shahada ya uzamili
•Kazi: civil servant
• Sina Mtoto
Sifa za msichana (mchumba)
-Umri 25-32
-Elimu shahada ya kwanza & above
-Dini mkristo
-Kazi: awe anajishughulisha.
-Asiwe na Mtoto
- Rangi any
Kama kuna msichana ambae yupo serious kuolewa Karibu PM kwa mazungumzo zaidi.