Mkuu pole na mtihani ulio kupata. Ushauri wangu ni kwamba, waone wale jamaa wa ANGAZA au Njia Paanda (Cloud FM), kwa ushauri nasaha, ila sijui ofisi zao zipo wapi. Nadhani ukiulizia ulizia unaweza kuelekezwa wapi zilipo.Nina umri wa miaka 35 natafuta mchumba ambaye ni muathirika. Mimi mwenyewe ni muathirika nimegundulika mwaka huu mwezi Feb. Kazi yangu ni mfanyabiashara.
Nina umri wa miaka 35 natafuta mchumba ambaye ni muathirika. Mimi mwenyewe ni muathirika nimegundulika mwaka huu mwezi Feb. Kazi yangu ni mfanyabiashara.
Mkuu pole na mtihani ulio kupata. Ushauri wangu ni kwamba, waone wale jamaa wa ANGAZA au Njia Paanda (Cloud FM), kwa ushauri nasaha, ila sijui ofisi zao zipo wapi. Nadhani ukiulizia ulizia unaweza kuelekezwa wapi zilipo.
uliupataj pataje? pole sana ndugu yangu .
Nina umri wa miaka 35 natafuta mchumba ambaye ni muathirika. Mimi mwenyewe ni muathirika nimegundulika mwaka huu mwezi Feb. Kazi yangu ni mfanyabiashara.
Vijisenti, natanguliza shukurani kwako kwa kuwa mwaminifu kwa mpenzi wako na Mungu wako. Sasa basi nakushauri ongea na Nafsi yako hai, utapata mchumba mwadilifu, atakayekupenda na kusaidia katika maisha yenu. Pia nakupa moyo, mkabidhi Mungu maisha yao utaona tofauti na maisha yako ya siku zote.
Kila la kheri!
Mkuu pole na mtihani ulio kupata. Ushauri wangu ni kwamba, waone wale jamaa wa ANGAZA au Njia Paanda (Cloud FM), kwa ushauri nasaha, ila sijui ofisi zao zipo wapi. Nadhani ukiulizia ulizia unaweza kuelekezwa wapi zilipo.
Ndio maana nami nikamuelekeza sehemu ambayo anaweza pata kile anacho kikusudia na si hapa JF.Jamani, watoa lecturer; shida ya mtoa mada ni mchumba, preferably aliyeathirika.
Mkuu nimekushauri uwaone hao wataalam, kwani kupitia kwao, unaweza kufanikisha kusudio lako...!Ahsante, nimeshauriwa mambo mengi sana. Hata hivyo namshukuru Mungu ni saa oja ya kwanza tu ndio niliokuwa kwenye wakati mgumu lakini muda wote uliofuata niko kawaida hata hapa ninapokujibu sina wasiwasi niko kawaida kabisa ila sijui kama ni makosa ya washauri au ndio utaratibu wenyewe kwani sijashauriwa chochote kuhusu mahusiano.
Nina umri wa miaka 35 natafuta mchumba ambaye ni muathirika. Mimi mwenyewe ni muathirika nimegundulika mwaka huu mwezi Feb. Kazi yangu ni mfanyabiashara.
Nimegundulika nina virusi vya Ukimwi baada ya kwenda kupima kwa hiyari, sina tatizo lingine la kiafya pia nina cd4 za kutosha hivyo sijaanza kutumia dozi.
Hongera kwa kujitangaza ila mii ushauri wangu ni kwamba,kama huyo mchumba ukimpata basi tulia nae kwa sana na acha kabisa yale mambo yetu ya mabinti, kula matunda kwa wingi, fanya mazoezi, do this az b4, usifikirie sana hii kitu ukimwi,coz itakumaliza,cd4 zako hazitapungua na utaishi kwa matumaini sana!!
Nina umri wa miaka 35 natafuta mchumba ambaye ni muathirika. Mimi mwenyewe ni muathirika nimegundulika mwaka huu mwezi Feb. Kazi yangu ni mfanyabiashara.
unaweza hata oa ambae hajaathirika na usimwambukize mkuu,inategemea na umakini wenu